Accueil > Termes > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Ajouter à Mon Glossaire

Commentaires

Vous devez ouvrir une session pour poster dans des discussions.

Les termes dans Actualités

Termes en vedette

Ann Njagi
  • 2914

    Termes

  • 0

    Blossaires

  • 12

    Abonnés

Secteur d’activité/Domaine : Vie personnelle Catégorie : Divorce

sherhe ya talaka

sherehe rasmi ya mwisho rasmi ndoa na talaka kubadilishana viapo na kurudi pete ya harusi. Kama talaka inakuwa zaidi ya kawaida, sherehe ya talaka ...

Contributeur

Blossaires en vedette

Wine

Catégorie : Food   1 20 Termes

Hunger Games

Catégorie : Littérature   2 39 Termes