Accueil > Termes > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Ajouter à Mon Glossaire

Commentaires

Vous devez ouvrir une session pour poster dans des discussions.

Les termes dans Actualités

Termes en vedette

edithrono
  • 0

    Termes

  • 0

    Blossaires

  • 1

    Abonnés

Secteur d’activité/Domaine : Festivals Catégorie : Nouvelle année

azimio ya mwaka mpya

Azimio ya mwaka mpya ni ahadi ambayo mtu hufanya kwa lengo moja au zaidi ya kibinafsi, miradi, au kuleta mageuzi ya tabia. Hii mabadiliko ya maisha ...