Jonah Ondieki

nairobi, Kenya

Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri! (Giving is a will, not due to wealth)

279 Termes    0 Blossaires    1 Abonnés    46792 Viewers

Jonah Ondieki

nairobi, Kenya

Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri! (Giving is a will, not due to wealth)

279 Termes    0 Blossaires    1 Abonnés    46792 Viewers

mikakati ya kusoma na kufunza/kufundisha

Education; Enseignement

Mbinu na dhana ambazo mwalimu hutumia kuhakikisha kuwa kusoma kunafanyika.

vituo vya kusomea

Education; Enseignement

Sehemu maalum ya madarasa ambapo wanafunzi huhusika na shughuli mahususi ili kuwezesha kusoma maarifa au ujuzi; kwa mfano, wanafunzi hufanya kazi zao wenyewe kwenye vituo vya ...

mkataba wa kusoma

Education; Enseignement

Maafikiano baina ya mwalimu na mwanafunzi kuhusu malengo yanayofaa kufikiwa katika kipindi fulani maalum cha kusoma au cha shughuli fulani.