Accueil > Termes > Swahili (SW) > Eid al-fitr

Eid al-fitr

Sikukuu ya Waislamu wakuthibitisha mwisho wa Ramadan, Waislamu hawasherehekei mwisho wa kufunga peke yake bali pia kumshukuru Mungu kwa usaidizi na nguvu aliowapa mwezi uliopita ambao iliwapa mazoezi ya kujizuia.

Hili tamasha huanza pindi tu mwezi mpya inapoonekana angani. Hali ya kusherehekea inaongezwa na kila mtu kuvaa nguo nzuri au manguo mpya, na kupamba nyumba zao.

Eid pia ni wakati wa msamaha na kurekebisha.

0
  • Partie du discours :
  • Synonyme(s) :
  • Blossaire :
  • Secteur d’activité/Domaine : Festivals
  • Catégorie :
  • Company:
  • Produit :
  • Acronyme-Abréviation :
Ajouter à Mon Glossaire

Commentaires

Vous devez ouvrir une session pour poster dans des discussions.

Les termes dans Actualités

Termes en vedette

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Termes

  • 0

    Blossaires

  • 7

    Abonnés

Secteur d’activité/Domaine : Gouvernement Catégorie : Gouvernement américain

Ofisi ya mlaji Fedha Ulinzi

Mlaji Fedha Ofisi ya Ulinzi (CFPB) iliundwa katika Julai 2010 na Elizabeth Warren kama shirika la serikali kuwajibika kwa ulinzi wa walaji wa fedha ...