Accueil > Termes > Swahili (SW) > msamaha

msamaha

Baada ya kununua bidhaa au huduma, mteja anaweza kupata marupurupu (juu ya bei) kutoka kwa mnadi ili kununua kuwe rahisi kwa mteja. Katika B2B, muuzaji anaweza kutoa msamaha kwa mnadi wake wakati mnadi anapofikia lengo la mauzo kabla ya kufafanua bei. Marupurupu haya yanawakilisha fedha ambazo ni baki la mwisho kwa mnadi mwisho wa muda(robo, muhula, mwaka) ambalo kwa matokeo,huogeza kiasi chake.

0
Ajouter à Mon Glossaire

Commentaires

Vous devez ouvrir une session pour poster dans des discussions.

Les termes dans Actualités

Termes en vedette

edithrono
  • 0

    Termes

  • 0

    Blossaires

  • 1

    Abonnés

Secteur d’activité/Domaine : Festivals Catégorie : Noël

malaika

Wajumbe wa Mungu ambao walijionyesha kwa Wachungaji wakitangaza kuzaliwa kwa Yesu.