Accueil > Termes > Swahili (SW) > seneti

seneti

Kijumla huchukuliwa kuwa nyumba ya juu ya Bunge la Congree la Marekani ingawa wajumbe wa Nyumba ya Wawakilishi tangu zamani huzitazama zote kuwa sawa.

Seneti in wanachama 100, wawili wakiwa wamechaguliwa kutoka kila jimbo na huhudumu kipindi cha miaka sita ambapo thuluthi moja yao ikiingia baada ya uchaguzi unaofanywa baada ya miaka miwili. makamu wa rais huhudumu kama afisa msimamizi wa Seneti ingawa hahudumu kwenye kamati yoyote na haruhusiwi kupiga kura wakati kura zimetoshana kwenye pande zote.

0
Ajouter à Mon Glossaire

Commentaires

Vous devez ouvrir une session pour poster dans des discussions.

Les termes dans Actualités

Termes en vedette

Ann Njagi
  • 0

    Termes

  • 0

    Blossaires

  • 12

    Abonnés

Secteur d’activité/Domaine : Matériel réseau Catégorie :

mtandao wa tarakilishi

mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa

Contributeur

Blossaires en vedette

The Asian Banker Awards Program

Catégorie : Business   1 5 Termes

Most Popular Cartoons

Catégorie : Loisirs   2 8 Termes